Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Hon. George Joseph Kakunda (Mb)

Wasifu

Dira na Dhamira

DIRA

Kuwa na msingi shindani wa viwanda, mazingira bora ya uwekezaji na ukuaji wa biashara unaowezesha kukua kwa uchumi shirikishi na endelevu.


DHIMA

Kuweka mazingira wezeshi na endelevu kwa ajili ya ukuaji wa Viwanda, Biashara, Uwekezaji, Masoko na Viwanda vidogo na Biashara

ndogo kupitia sera na mikakati madhubutu; kuwezesha ushikiriki wa sekta binafsi; kuendeleza ujasiriamali na kuwezesha kupanuka

kwa uzalishaji, hudumu na masoko.


Hatimiliki © wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji 2019. Haki zote zimehifadhiwa.