Tangazo

Imewekwa:10th March, 2017

Rasimu ya nyaraka mbalimbali za DTIS Tanzania zinapatikana kwa mashauriano/majadiliano. Tafadhali zipakue kutoka katika sehemu ya "Nyaraka na Machapisho" katika tovuti hii, kisha wasilisha maoni/mapendekezo yako kupitia fomu inayopatikana katika sehemu ya "Mrejesho" katika tovuti hii. Tunatarajia kusikia kutoka kwenu.