Sehemu na sura za rasimu ya DTIS ziko tayari kwa maoni na maboresho

Rasimu ya ripoti ya mwisho ya DTIS Tanzania pamoja na sehemu na sura zake ziko tayari kwa maoni na maboresho. Tafadhali uipakue kutoka kwenye sehemu ya 'Nyaraka na Machapisho' ya tovuti hii (http://www.mit.go.tz/dtis/pages/draft-chapters), kisha wasilisha/tuma maoni yako kwa kutumia fomu inapatikana katika sehemu ya '' Maoni ''. Tunatarajia kusikia kutoka kwako!