Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Hon. Charles John Mwijage (MP)

Wasifu

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO ndugu LI Yong, mara baada ya kumpokea uwanja wa ndege jijini Dar es salaam leo tarehe 7 Machi, 2018. Sehemu ya watendaji wa UNIDO pamoja na watendaji wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Wizara ya Mambo ya nje, ushirikiano wa kikanda na kimataifa. Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO, LI Yong akizungumza mara baada ya kuwasili nchini na kukutana na Waziri wa Viwanda na Biashara na Uwekezaji, leo jijini Dar es Salaam. Wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Cashewnut Company 2005 Limited cha Mtwara wakiendelewa na kazi. Meneja wa Kiwanda cha kuchakata chai cha Unilever kilichopo Mkoani Njombe ndugu. Ashton Eastman akielezea hatua mbalimbali za ujenzi wa kiwanda hicho kwa Mhe. Charles Mwijage pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bibi. Ruth Blasio Msafiri walipofika ofisi za SIDO Mkoa wa Njombe kuona utendaji wake.

Hatimiliki © wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji 2018. Haki zote zimehifadhiwa.